1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0715949085
0782838336