1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA MPYA KABISA KODI 400,000/=X3
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
SIFA ZAKE :-
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA MAKABATI
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA
IMEBAKI MOJA TU NDUGU MTEJA WAI
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.