1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000/= X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA
NB: MTU ANAHAMA LEO JIONI NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.