1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







inapangishwa KIMARA KOROGWE
๐ Kodi Tsh 150,000 /= 3
๐Chumba kimoja master kubwa sana
๐Sehemu ya jiko
๐ Umeme submeter Yako mwenyewe
๐ :Maji yanaflow Ndani
๐ :Ndani ya Fensi
๐ :Parking Kubwa
:Nyumba ni mpya NAIFAULISHA
iko umbali wa 1km kutoka mwendokasi , Usafiri Bajaji 500 Ukishuka Dk 2 Boda Boda 1,000 Mpaka getini
๐ Barabara Nzuri ya Lami
_________________
#Malipo ya dalali Tsh 150,000/=
#Kupelekwa kuona Tsh 15,000/=
Call #0785889413๐ฅ๐ฅ
WhatsApp