1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
vyumba vya kulala vitatu 3
Chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi haina fensi
Sema hii nyumba NI zuri
Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi mmoja NI laki tatu/=
(300,000)
X 6
#0785889413🔥🔥