1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam




chumba (single)kimoja kinapangishwa kodi tsh 50,000/= miezi 4 nakuendelea,
kipo maeneo kimara mwisho umbali dk 20 au boda boda 1000/=
kina sakafu kawaida cha ndani korido kati kati
Umeme shea wapangaji
Kuonyeshwa chumba 15k
Ulipiapo chumba dalali mwezi 1
Piga simu ufike site.
What saapp number 0689-547258