1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
Sebule kubwa sana na vyumba ni vikubwa sanaa
Inajitegemea umeme NA maji piya
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
Nyumba hii jiko lake ni kibaraza una pikia vizuri tuu
๐ฐKODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL 0625606710
CALL 0783794666