1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







š¹šæ#MASTER_ROOM INAPANGISHWA
šKimara korogwe
šUmbali wa kutoka stand ya mwendo kasi dakika 7 kwa mguuu
#SIFAZAKE
š²Chumba kimoja Master kikubwaa
š²Sehemu jiko
š²Umeme Sub-meter yake wawili (3) Tu
š²Maji yanaflow ndani
š²Fenced & isiyo raza gari
šZiko 2 kwenye compaund moja na hii moja ipo wazi
š¹KODI Tsh 130,000/= Ć6(MIEZI SITA)
š¹MALIPO YA DALALI TSH 130,000/=
š¹SERVICE CHARGE Tsh 15,000/=
#Piga_simuš
O627977383.
& Whatsappš
#please #Follow usš
Karibu Sana Mtejaš