1 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Nyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom public toilet jiko kubwa Sana
Bei 450k kwa mwezi kodi miezi6 tu
Nyumba zipo makongo mwisho
Huduma maji na umeme unajitegemea
Nipigie simu 0672616197