1 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
Nyumba kali, nyumba ya kiwango, nyumba ya kibabe yenye bei poa, Chumba kimoja na sebule choo ndani, nyumba nimpya haina mda tangu kujengwa, ina maji ndan na car parking pia uan kuna perving kwa ajili ya kuzuia tope, iko maeneo ya kwa vise nyuma ya halmashauli ya mji kasulu, kodi yake kwa mwezi tsh, 120,000/= na haina population ya watu wengi, mawasiliano sim card 0764162942, au 0626332187. Tafadhar kama sio wewe nisaidie ku-share. Aksante πππ.