1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTIMENT MPYAA ZINAPANGISHWA #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI KM 2, KUFIKA
USAFIRI BAJAJI 700, AU BODA 1000, MPAKA GETINI
APA KUNANYUMBA AINA MBILI
(1) CHUMBA SEBULE KUBWA SANA CHOO PABLICK NDANI NA JIKO HII KODI 200 X 6
(2) CHUMBA MASTAR KUBWA NA JIKO LAKE HII KODI 130 X 6
(3) CHUMBA MASTAR TU HII KODI (100,000)
NYUMBA NI MPYAA TAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NDANI YA FENSI ZITAWEKWA PEVING BLOCK
UMEME MAJI FULL
KUONA NYUMBA ELFU 20000
UTAMLIPA DALALI mau KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747