1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA NAIFAULISHA NDUGU MTEJA 🏃♂️🏃♀️💰✍️
Location: MBEZI KWA MSUGURI
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: DAKIKA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD 🚶🚶
KODI 600,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA LA KISASA
✅️PUBLIC TOILET
✅️HEATER YA MAJI MOTO
✅️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✅️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
✅️FULL SECURITY (ULINZI WA KUTOSHA) 24HRS
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫 NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA 🚘
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp