1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU MOJA NDIO IPO WAZI KODI 180,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING UPANDE ISIYOLAZA GARI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347