1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Barabara ni Lami Mpaka Jirani na Getini na Usafiri Bajaj 700
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
โข JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
โข CCTV CAMERA
โข RESERVE TANK (DAWASA)
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Wawili na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp
#NOTE: KUINGIA TAR. 15 MWEZI WA 5