1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO JIKO KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347