1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿 HOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
KODI 300,000 × 6
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU
Distance: KM 1.5 KUTOKA MANDELA ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 500 Ukishuka Dk 1 UMEFIKA
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️DINNING ROOM
✅️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA LA MAKABATI
✅️PUBLIC TOILET NDANI
✅️MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️UMEME LUKU YAKO
✅️NDANI YA FENCE ISIYOLAZA GARI
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp