1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#KIBARAZA CHA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347