1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
CHUMBA KIMOJA KIZURI Na CHOO CHAKE #MPYAAA
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Kwenye Lami
>CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA CHOO CHAKO PEKE CHA NJE
>CHOO NI CHA KWAKO PEKE YAKO
Apartment Ipo Kwenye Fence
Parking Space Available
UMEME Na MAJI NI WAWILI
Maji Ni DAWASA Yanaflow Chooni 24HRS
KODI 130,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp