1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 80K
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO KIBANGU RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kilomita Moja kutoka Kituoni Riverside Boda 1000
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA
โข CHOO CHAKE CHA KUSHEA WAWILI TU
โข MAJI YANAFLOW CHOONI NA BAFUNI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU Sub Meter wawili na Maji DAWASA yanaflow Chooni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 80,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 Whatsapp