1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU WAWILI
#ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
NB: UKILIPIA NYUMBA INAFANYIWA MABORESHA YA RANGI NK:
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347