1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment_Classic_For_Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Stand Riverside
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Sana Ndani
Apartment Zipo 5 Ndani Ya uEneo Moja Parking Ipo Na Kila Apartment Umeme LUKU SUB-METER Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
KODI 250,000 Malipo Miezi 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp