1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIKUBWA MASTER BEDROOM NA JIKO
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO EXTERNAL BARABARANI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Kituoni Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA MASTER
• JIKO ZURI
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment Zipo Kwenye Fensi PARKING IPO na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 250,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call



















