1 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam







*BEI IMEPUNGUA KWA SASA NI MILION 60 ZAMANI ILIKUWA 65* Nyumba inauzwa kivule Sokoni wilaya ya Ilala Dar
📌BEI MILION 60 BEI INAPUNGUA📌
Vyumba vya kulala jumla ni v4
👉NYUMBA kubwa ni v3 kimoja masta
Dining, siting, jiko na stoo
👉NYUMBA ndogo ni chumba kimoja na sebule
Tailiz jipsam umeme
Kuna kisima kirefu cha maji safi
Eneo sqm 430 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Nyaraka za serikali ya mtaa
Gari moja tu hadi mjini
tena unaweza ata Lipa kwa awamu