4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


šÆļø Nyumba Nzuri Inapangishwa, GOBA NJIA NNE
š 900,000/= *6
_________
___
⢠Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
⢠Sebule
⢠Jiko litafungwa makabati
⢠Public Toilet
* Standby Generator
* A/c
* Heater ya Maji Moto
* Maji BURE
* Ulinzi BURE
* Inajitegemea UMEME
* Parking Kubwa
* Mazingira tulivu na Mazuri Sana
#PS:- Hapahapa kuna ya vyumba 4 vya kulala, kodi yake ni Tshs. 1,000,000/=
š Note:- Zinakuwa tayari kuhamia tarehe 01/08/2024, kuona na kulipia ruksa
______
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 20,000
#Malipo ya Dalali ni 900,000/=
______
0753-172-516