4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Goba. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vinne (vyote master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko la kisasa lenye makabati
- Public toilet
- Air conditioner
- Water heater
- Mafeni
- Garden
- Balcony
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 1,500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.