4 Bedrooms House for Rent at Kati, Arusha
——
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 800,000\/=×6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO CHUMBA 1 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA YENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET CHOO NA BAFU
#CAR PARKING
#INA A\/C NDANI
#GARDEN
#HEATER YA MAJI MOTO
# PIA KUNA SEHEMU YAKUSOMEA
BEI NI 800,000\/=×6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
0683-387747