4 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
(200,000X6) KIBAMBA HOSPITAL
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL KM 1 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Stoo
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
---------
Kodi 200,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
CONTACT US:-
0716223412
0683597453