4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(550,000 × 6) #STAND_ALONE KIMARA TEMBONI
NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= × 6
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/07/2025
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 550,000/= × 6 FIXED PRICE
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA NA UKAFIKA VIZURI HADI KWENYE NYUMBA ZOTE NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300