4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

(500,000X6)KIMARA TEMBONI 1.8KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING

BEI NI 500,000/= X 6

🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_kimara_kimara_kibamba🔵
dalali_kimara_ubungo_kibamba
dalali_kimara_kimara_kibamba🔵

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

INA PANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA UMBALI DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000SIFA ZAKE KODI NI 130,0...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

——:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTI NJIA YA CHUOPia...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI NA IPO MATAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 4 🌟APARTMENT HII INA SIFA Z...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

IMESHUKA BEI KWA SASA NI 170,000X4x5x6NI APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA 💯%MASTER BEDROOM ''SINGLE''KUBWA SAANA NA JIK...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA MASTER BEDROOM ''SINGLEKUBWA SAANA NA JIKO LAK...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X3) NA (120,000X3) KIMARA MWISHO 2KM BAJAJI. 700.. AU UNAWEZA PITIA KOROGWE KWA PIKIPIKI ➖➖➖...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

(170,000X3)KIMARA TEMBONI 1 .5KM KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖➖➖💥 *KODI YAKE 170K X3//**ILIPWE LAKI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X4)KIMARA MWISHO➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWALOCATION: KIMARA MWISHO DISTANCE:...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI -------Chumba master Seble kubwa JikoLuku ya...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA MASTER BEDROOM ''SINGLEKUBWA SAANA NA JIKO LAK...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA MASTER BEDROOM ''SINGLEKUBWA SAANA NA JIKO LAK...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment kali snaa@Inapangishwa @Bei 400,000 kwa mwez@Mahali kimara mwisho KM 1.5@Malipo miez 7 na ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X4)KIMARA MWISHO➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWALOCATION: KIMARA MWISHO DISTANCE:...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

🇹🇿MASTER_ROOM #INAPANGISHWA📍kimara korogwe 🕑Dakika 8_10 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi kwa...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

INA PANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA UMBALI DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000SIFA ZAKE KODI NI 130,0...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2025 AU ...