4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(600,000 Γ 6) πππ ππ₯π π¦π¨ππ
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
BEI NI 600,000/= Γ 6
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUSOMEA WATOTO
#STORE
#AIR-CONDITION π©π¬π¨π πππ‘π π‘π π¦πππ¨πππ‘π
#PARKING KUBWA
BEI NI 600,000/= Γ 6 MAONGEZI YAPO
π«π« NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300