4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI STEND ALON INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NA INA PARKING YA GAR MOJA TU
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI MAZINGIRA MAZUR GARDEN SAFI
SERVICHAJ ELFU 20
CONTACT
0712500602
0755336565