4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/09/2024
🌟🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
# SEBULE KUBWA SANA
# JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
# PUBLIC TOILET ZA JUU NA CHINI
# PARKING KUBWA
# GARDEN
BEI NI 700,000/= X 6
🇹🇿🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💫💫 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/09/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Wahi mapema ndg mteja
piga 0677210673