4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10
KWA MIGUU KUTOKA STEND SUKA
KODI TSH 700,000X6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000
---
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
--------
SIFA YA NYUMBA
_________________
nyumba Nzuri sana ya kifahari
Ina Vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms NA AC
Vyumba vyote
Sebule kubwa sana
na dnning room kubwa
Jiko kubwa
Kwenye fensi zitakuwa mbili badae ikikamirika hiyo nyingine
Kwa sasa ipo mmoja tuu
KODI YA PANGO
👇👇👇👇
kodi kwa mwezi ni laki saba
(700,000)
X 6
What saapp number 0689-547258