4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI.
------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa lenye makabati
Public toilet
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5.
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏