4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE BEI NI 600,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#ELECTRIC FENCE
#PARKING KUBWA
#INAJITEGEMEA KWENYE FENSI
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI SAFI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530