4 Bedrooms House for Rent at Kiseke, Mwanza
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba vinne vya kulala ( self contained moja ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-nyumba ina Heater, makabati, Feni, car parking space na water reserve tank
-kodi 500,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi 6
NB:-
-Ipo nyumba moja ndani ya fensi
๐ 0743220097