4 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga







STAND ALONE YA NGUVU YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 900,000/= X 6
🌟STAND ALONE HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA
# MASTER BEDROOM 3
#SEBULE KUBWA SANA
#DAININ SAFI
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI (PUBLIC TOILET )
# VYUMBA VINGINE V2 VYA NJE VYAWAGENI NA CHOO CHOO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA, PIA KUNA TANK LITA 5000 JUU
#PARKING KUBWA
#FULL SECURITY
PIA KUNA SWIMMING 🏊♀️ NDANI UMO YA FENSI
PIA KUNA MABANDA YAKUFUGA KUKU NA NA MBWA PIA
BEI NI 900 000/= X 6
💫💫NYUMBA HII IPO KINYEREZI MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA KINYEREZI ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 RAMI MPKA MLANGONI INAFAA GARI YA AINA ZOTE ZINAFIKA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027