4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KD 5 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Kama mfugaji hapo ndipo penyewe
Parking space kubwa
FENCE ya senyenge
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏