4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F91b436d2-b0c0-4b20-a22b-2c190cc4b3ee.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F91b436d2-b0c0-4b20-a22b-2c190cc4b3ee.jpg&w=256&q=75)
Nyumba inapangishwa full fanichar mbezi beach maneno ya whate sand nyumba inamahitaji yote yanayotakiwa hii nyumba ina Vyumba vinne tu vyote selfu ina swiming pol Kwa nje ina garden yakutosha ina uwanja mkubwa wakucheza watoto parking ipo car port Bei ya kupangisha tsh 7000,000 Kwa mwezi sawa na dolla 2500