4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
#STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI MWISHO . ROUND ABOUT YA GOBA
NYUMBA INA VYUMBA VINNE (4) VYA KULALA NA VIWILI MASTER BEDROOM
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA CHA NJE( SERVANT CORTER)
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa ndani na nje
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full a/c
Garden ๐ก
Full security
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji au pikipiki 1000
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
#0714335450