4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
MAARUFU KITUO CHA POLISI KUTEMBEA DK 15
USAFIRI BODA BUKU MPAKA GETINI
MUUNDO WAKE
>INAVYUMBA VINNE VYAKULALA VIKUBWA SANA, KIMOJA MASTAR
>INASEBULE KUBWA SANA, NA DAININGI
>INAJIKO KUBWA SANA FULL MAKABATI, NA
>PUBLICK TOILET
INATAILIZY GYUPSAM ALUMINIUM
INAGEREJI YAKULAZA GARI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
PIA FENSI YAKE UPANDE NI WAYA
ENEOLAKE NIKUBWA SANA, KWAWALE WANAOPENDA KUFUGA
💰KODI 600,000/ X 6
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
CALL#0625606710



















