4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


TANGAZO LA KUPANGISHA NA KUUZA NYUMBA – MBEZI MSUGULI, MSINGWA, DSM
1. Nyumba za Kupangisha (Ghorofa ya Juu)
- Vyumba: 11 (Master Bedrooms)
- Vipengele:
- Kila chumba kina mita ya umeme ya kujitegemea na fremu 2.
- Kodi: TZS 750,000 kwa kila chumba (inahusu miezi 6).
- Jumla ya kodi kwa mwaka (vyumba 11): TZS 750,000 x 11 x 2 = TZS 16,500,000.
- Maeneo: Ipo 1.3km kutoka Barabara ya Morogoro, Mbezi Msuguli, Msingwa, Dar es Salaam.
2. Nyumba ya Kuuzwa (Unit ya Chini)
- Maelezo:
- Vyumba 4 + Chumba 1 cha Kujitegemea (Self-Contained).
- Imewekwa kamera za usalama za hali ya juu zilizotoka Uturuki (gharama ya kamera: TZS 32,000,000).
- Bei ya Kuuzwa:
TZS 600,000,000.
Mahali: Mbezi Msuguli, Msingwa, Dar es Salaam (1.3km kutoka Barabara ya Morogoro).
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kutembelea nyumba!
+255688412890.