4 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


*Date Listed*03/12/2025
-Nyumba Kali Sana Ya Kifamilia Inapangishwa
Inajitegemea Kwenye Compound
♡ Ilipo:Sinza
♡4 Bedrooms 2 Master's
♡Seating Room
♡Kitchen
♡Dawasco Water 24 Hours
♡Full Ac
♡Car Parking Space Available
♡Paving Blocks
■VITU VINATOKA
■Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
■Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@dalali
■Price 1.5M/=
■Term:6 Months


















