4 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Stand alone, nyumba inapangishwa sh 400000 kwa mwezi, ina vyumba 4 vyumba 2 ni self contained, sebule kubwa, dining room, jiko, public toilet, parking, fence, umeme na maji unajitegemea, reserve water tank, tabata kinyerezi ditopile dar es salaam
Sifa ya nyumba kujitegemea ndani ya fence ya peke ake
Muhitaji piga sim
☎️ Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi, istagram, Facebook & tik tok