4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe INAFAA KWA OFFICE
Location Ubungo External Dakika 3 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 700000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
=============
Room 4 zote ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake Pia Kuna Kisima Cha Maji
Parking space fancy
Pavin Block
Nyumba Ina Eneo Kubwa sana la Kufuga Kuku na Kulima mboga
Nyumba hii Ina faa Kwa Office NK
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
#0625606710