4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 500,000ร6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 4 V2 MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA NA STORE
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU INAJITEGEMEA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA
MAWASILIANO
WSP
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI