4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location ubungo Riva said Kibangu dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 400000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 4 moja ni Master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128