4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
NI VYUMBA MASTER BEDROOM VIKUBWA VINAPANGISHWA
VIPO VYUMBA VINNE NI VYA KUINGIA TAR 01/08/2024 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
MAFUNDI WAPO KAZIN KWA KASI YA 5G AKUNA KULALA MPKA VIKAMILIKE
LOCATION: NI UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVER SIDE UMBALI WA KM 2 KUTOKA MAIN ROAD USAFIRI BAJAJI 700
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
VYUMBA VITAKUA NA TILLES GYPSUM ALUMIUM FEN JUU
LUKU SABMITA MAJI NDANI VIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO MAZINGIRA MAZURI
SERVICE CHARGE ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI KODI YA MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258