4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo kibo dakika 15 kutembea mpaka home
Kodi 700000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 4 moja ni master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Full A/C ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Garden nzuri sana
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















