4 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
STAND ALONE
LOCATION
TEGETA WAZO BWAWANI
DAR ES SALAAM TANZANIA ๐น๐ฟ
___________________________________________
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 4 VYA KULALA
VYUMBA 2 NI SELF COUNTED
NYUMBA NDOGO INA VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF COUNTED
NYUMBA ZOTE KWA UJUMLA ZINAPANGISHWA KWA PAMOJA
BEI TSH 1,500,000/=
KODI MIEZI SITA
0712154044
KARIBUNI SANA